| |
Oman na Zanzibar
Baadhi ya Picha
zinaonesha historia ya uhusiano wa Zanzibar na Oman.
- Majahazi yameunganisha ndugu katika hizi nchi mbili sikuzote.
- Majahazi yalikuwa ya ukubwa
mbalimbali, historia yake ni ya zamani sana kuweza kuelezea. Yanasemekana kuwa
ni ya zamani kuliko mtu anavyoweza kuamini.
- Masultani wa zamani waliyaheshimu. Kwa mfano kuna ngome iliyojengwa
katika kina kirefu cha maji katika muundo wa jahazi kwa ajili ya familia ya
Sultan.
- Yalikuja mamia kwa mamia kutokea Oman na kutoka maeneo mengine ya
kiarabu.
- Wakati wa msimu wa biashara sehemu kubwa ya mji ilishiriki katika
shughuli hiyo kwa namna fulani.
- Baadaye wafanyabiashara kutoka mataifa mengine wakaja.
- Ya faida kubwa biashara hii ilikuwa kiasi kwamba wafanyabiashara
kutoka nchi za magharibi walizipa meli zao majina ya washirika wao wa
kibiashara.
- Uongozi wa Oman na Zanzibar ulianza kujitenga.
- Familia ya mtawala ilionesha msimamo.
- Hiyo iliyowahi kuwa himaya... hivi sasa ni kumbukumbu tu.
- Uzuri wa enzi hizo zilizopita.
- hivi sasa waleta faraja kwa wale tu wakumbukao.
na Barghash 2002 haki zote zimehifadhiwa.
Imetafsiriwa na Mwalimu George Mwidima
gmwidima@yahoo.com
|