Historic Photographers
Zanzibar Sketches
Palatial Zanzibar
Zanzibar mosques
Zanzibar Women
Kanga and Zanzibar
Six Famous Zanzibari
Oman and Zanzibar
Zanzibar Courage
Goa and Zanzibar
Zanzibar Christians
Zanzibar Ships
Lights of Zanzibar
Tumekuja School
Zanzibar Golf
Space Station Zanzibar
A Funeral In Zanzibar
Zanzibar Fire
Zanzibar Revolution
Nine Hour Revolution
Mass Graves
Images of a Revolution
??? ?????? ?? ???????
KiSwahili Pages
Diving Zanzibar
111 Links
Table of Contents
Search My Site
GUESTBOOK

Misikiti ya Zanzibar



  • Misikiti mingi ya Mji wa Mawe ni ya ujenzi wa kawaida.

  • Msikiti wa Mnara ni miongoni mwa misikiti ya zamani sana katika Mji wa Mawe. Wakati mwingine pia huitwa Msikiti wa Malindi kwa sababu upo jirani na Malindi katika Jiji la Zanzibar.

  • Msikiti wa Kiislam wa Hujjatul una mojawapo ya sura za kupendeza sana kwa nje

  • Msikiti wa Laghbari una mojawapo ya sura za kupendeza sana kwa ndani.

  • Msikiti wa Bagh Muharmi una mnara mrefu zaidi kuliko yote.

  • Msikiti wa Kizimkazi uliopo kusini ya Mji wa Mawe, ulijengwa mwaka 1107 AD na ni msikiti wa zamani sana katika kisiwa cha Unguja. Hadi leo hii bado unatumiwa na watu wa Kizimkazi .

  • Hapa ni mabaki ya msikiti wa kale, Pemba (karibia mwaka 1300 AD) niliyoyapiga picha mwaka 2000 karibu na Ras Mkumbuu.

  • Hizi ni picha za misikiti michache tu ya Zanzibar, ipo mingine mingi zaidi.

  • Hakuna utafiti wa Misikiti ya Afrika utakaokamilika bila kutaja Msikiti mkubwa uliopo Kilwa. Wakati mwingine mwenzi, wakati mwingine mshindani wa mji wa zamani wa Zanzibar, hiki kisiwa chenye hadhi ya jiji kusini ya Zanzibar kilijenga msikiti mkubwa sana wa kale kusini ya mwa jangwa la Sahara. Mabaki mengi zaidi ya msikiti yaliyopo katika kisiwa cha Tumbatu cha Zanzibar huenda yalikuwa mojawapo ya aina hii ya ubunifu wa kupendeza.


Mosque References

Imeundwa na Barghash@msn.com 2003

Imetafsiriwa na Mwalimu George Mwidima gmwidima@yahoo.com

Wazanzibarr_Maarufu.htm WAPIGA PICHA WA KIHISTORIA WA ZANZIBAR Zanzibar Maridhawa Michoro ya Kale ya Zanzibar WANAWAKE WA ZANZIBAR Ujasiri wa Zanzibar Misikiti ya Zanzibar Oman na Zanzibar WAGOA_na_zanzibar WAKRISTO WA ZANZIBAR Sherehe ya Miaka 25 ya mwaka 193 KITUO CHA ANGA ZANZIBAR SKULI YA TUMEKUJA Mazishi Zanzibar Kupiga mbizi Zanzibar Tovuti mia moja kumi na moja za Zanzibar MAPINDUZI YA ZANZIBAR MAPINDUZI YA SAA TISA MAKABURI YA HALAIKI