Sehemu zihusikazo na Kupiga Mbizi:

Kituo cha Kupiga Mbizi cha Bahari Moja Zanzibar =
Moja ya sehemu bora za Kupigia Mbizi/Kuchupia katika visiwa na boti ya Kupigia
Mbizi ya Jahazi nzuri kabisa kila mahali:
http://www.zanzibaroneocean.com/
Dive Africa WaterSports = ina viunganisho vya
mtandao kuelekea katika ramani ya moja kwa moja ya Kupigia Mbizi ya Unguja ya
kaskazini:
http://www.diveafrica.com/zanzibar/index.html
UV-bilder frn Zanzibar-1998 = Picha nyingi nzuri za
chini ya maji:
http://www.eminds.se/jka/uv/Zanzibar-1998/
Ukurasa Mkuu wa kisiwa kidogo cha Chumbe= Piga
Mbizi/Chupa katika bustani ya matumbawe inayolindwa vizuri. Kisiwa hiki pia
kinatoa malazi mazuri kimazingira ya ubora wa hali ya juu.
http://www.chumbeisland.com
Wapiga Mbizi WaSwahili = (Pemba)
http://www.aquatours.com/eastafrica/pemba.htm
Funda Lagoon = (Pemba) Sehemu ya kupumzikia ya
daraja la juu Pemba. Hakuna njia ya barabara.
http://www.fundulagoon.com/homepage.htm
Jarida La Wapiga Mbizi la mwaka 1998 = Makala kuhusu
Kupiga Mbizi Pemba. Angalia: Bei zinabadilika kulingana na tarehe.
http://www.divernet.com/travel/pemb698.htm
Kinasi = Piga Mbizi/Chupa katika mtandao kuhusu
Kisiwa cha Mafia, Maelezo mazuri.
http://www.mafiaisland.com/dive.htm
Mahala pa Taarifa za Safari = Safari zifaazo watalii
wengi, Ikiweka pia bei kadhaa za Kupiga Mbizi.
http://www.safarishop.co.za/zanzibar.htm
Taarifa za Watalii, Safari na Taarifa nyingine za wasafiri:

Gonomad = Kiongozi kizuri kwa watalii/wageni wa
Zanzibar.
http://www.gonomad.com/destinations/0101/pitcher_zanzibarmineguide.html
Zanzibar Travel = Kampuni nzuri ya waingereza
inayojishughulisha zaidi na Siku za Mapumziko Zanzibar.
http://www.zanzibartravel.co.uk/
Repoti/Taarifa ya watalii Zanzibar wakati wa majira
ya kiangazi ya mwaka 1998 =
http://www.geocities.com/Yosemite/Gorge/7093/zanz.html
Sea Express Ferry = Picha na namba za mawasiliano
kwa Safari za Majini kati ya Dar kwenda Unguja
http://www.bus.miami.edu/~skhaki/sesmain.gif
Tanzania High Commission, London = Ukurasa wa
mtandao mwingine unaofadhiliwa na Serikali wenye Taarifa za kuaminika kuhusu
Mahitaji ya Safari:
http://www.tanzania-online.gov.uk/index.html
Tato Grasso and Matteo Rizzo = Taarifa ya watalii:
http://www.geocities.com/TheTropics/Shores/1244/engtext4.htm
Karibu PrecisionAir = Ndege ndogo nzuri sana
inayotumikia Zanzibar, Pemba na Mafia. Pia ni nzuri kwa safari za Arusha kwenda
Zanzibar:
http://www.precisionairtz.com/
Air Tanzania = Shirika la Ndege la Taifa la
Tanzania.
http://www.airtanzania.com/
Monty & Shanee's Tanzanian Holiday 97-98 = Taarifa
ya Utalii:
http://www.mindspring.com/~montyhud/zanzibar.html
The Swahili Coast E-zine = Jarida pepe zuri. Taarifa
za Safari na Picha na Mpiga Picha Bora Afrika Mashariki.
http://www.swahilicoast.com/
The Zanzibar International Film Festival = Tamasha
hili lina Filamu kubwa na vitu vingine vingi. Hadi sasa ni tukio kubwa la
kiutamaduni Afrika Mashariki. Hufanywa kila Kiangazi Zanzibar. Linasherehekea
Nchi za Majahazi za Dunia:
http://www.ziff.or.tz/festival/festival.htm
Paradiso ya Marashi = Sehemu inayofadhiliwa na
Bodi ya Utalii ya Tanzania:
http://www.safariweb.com/tanzania/zanzibar.htm
The Streets of Zanzibar = Jarida dogo lenye taarifa
za Unguja na Pemba:
http://www.underwatercolours.com/zanzibar.html
Sama Tours = Wakala wa Utalii mzanzibari mwenyeji.
Pia aazimisha magari.
http://samatours.com/
Cape to Cairo = Mratibu wa shughuli za Utalii za
kibiashara nje ya Afrika Kusini:
http://www.capecairo.com/islands/zanzibar/zanzibar.html
Masomo ya vitu vitatu vya Zanzibar = Historia,
muziki na bahari, nini zaidi twaweza uliza?
http://goafrica.about.com/library/weekly/uc111000a.htm
Kutana na Zanzibar = Angalia kwa nini sisi tu
wapenzi zaidi kuhusu hii Paradiso ya kale ya Afrika.
http://www.encounterzanzibar.com/

Sehemu zinazohusiana za Taarab:
Mwambao = Taarifa za Taarab. Pia kurasa za kuvutia
zihusuzo kiSwahili:
http://www.mwambao.com/tarab.htm
Muziki wa Afrika hewani = Taarifa za Taarab na "sehemu
ya kuusikiliza" bure:
http://wus.africaonline.com/AfricaOnline/music/Zanzibar.html
Swahilionline = Ukurasa wenye Maonesho Makubwa ya CD
za Taarab na vionjo.
http://www.swahilionline.com/culture/music/music.htm
Africa-Iwalewa - Artists - Zein l`Abdin = Makala juu
ya Gwiji wa Taarab:
http://www.weltmusik.de/iwalewa/artists/z/zein_labdin.htm
Siasa:

Mahala pa Kumbukumbu ya Babu= Soma kuhusu mtu huyu
muhimu wa zamani katika Siasa za Zanzibar:
http://www.gn.apc.org/ambabu/intro.htm
"The Truth" = Kitabu pepe kuhusu Mapinduzi na uzoefu
wa mwanasiasa mmoja wa Zanzibar.
http://www.fortunecity.com/victorian/abbey/313/truth1.html
Khatib M. Rajab al-Zinjibari = Maoni ya Mtu Mmoja ya
Historia ya Zanzibar:
http://victorian.fortunecity.com/portfolio/543/zinj.htm
Repoti ya Zanzibar ya Amnesty International= "Utashi
wa Wafungwa"
http://www.web.amnesty.org/ai.nsf/index/AFR560012000

Picha Zaidi:
Freddie Mercury na Zanzibar = Picha nzuri za Mji
Mkongwe zikiwemo za Nyumba ya Bwana Mercury:
http://www.geocities.com/SunsetStrip/Stadium/5025/zanzi.html
Milango ya Zanzibar= Milango 18, michongo mizuri,
Picha nzuri.
http://www.burchcom.com/burchcom/zanz.html
Zanzibar yawekwa wazi= Picha zisizo na rangi (za
Weusi na Weupe):
http://members.tripod.lycos.nl/fotoverduin/index-1.html
Picha za Pemba= na Martin Ruffe
http://www.users.globalnet.co.uk/~mart03/pemba_island_tanzania.htm

Sehemu za Biashara:
Wachukuzi wa Duniani Kote Afrika Mashariki =
Husafirisha vitu kwenda na kutoka Zanzibar:
http://www.wwmovers-africa.com/tan-moving.html
Maslahi ya Elimu/Mazingira:

Shule ya Ujenzi ya Aarhus = Michoro ya Kushangaza ya
Majengo muhimu ya Zanzibar. Pia ishara fulani nzuri kwa maendeleo yajayo.
http://www.aaa-zanzibar.dk/
Chura wa matopeni wa Zanzibar= Mwangalie na msikie
huyu amphibia aliyeko hatarini:
http://www.calacademy.org/research/herpetology/frogs/list5.html
Kanisa la Ely = sasa limeunganishwa na Kanisa la
Zanzibar.
http://www.ely.anglican.org/ensign/e9910/zanzibar.html
Aston Comprehensive School = A nice sister-School
program between Zanzibar and the United Kingdom:
http://www.astonclc.org.uk/mak/default.htm
ZAWON = Wanawake wa Zanzibar kwenye tovuti.
http://www.zitec.org/info/zawninfo.htm
LAND WORK AND WEALTH = Taarifa ya kitaalam juu ya
taratibu za ardhi na makazi Zanzibar:
http://www.sli.unimelb.edu.au/fig7/Brighton98/Comm7Papers/SS48-Sulaiman.html

Vyanzo vya habari
allAfrica .com = Habari za Tanzania
http://allafrica.com/tanzania/

Mambo Mchanganyiko na Mageni
Kisa cha Pepo anayebaka wa Zanzibar = Popobawa
anayeogopwa:
http://www.csicop.org/sb/9512/i-files.html
Stone Age Romeos = Mashairi ya kushangaza mara moja:
http://wwwpersonal.monash.edu.au/~lanks/hoodoos/stone/zanz.html
DL7VSN on Zanzibar = Kurasa ya mwendeshaji wa redio
ya Ham:
http://home.t-online.de/home/0309314613-0001/zanzibar.htm
Heritage Society = Picha ya Aga Kahn(s) akipokea
Nishani ya Zanzibar ya Nyota anayenga'ra.
http://global.globale.net/~heritage/foto/5700663t.html
MAANDISHI YA KANGA= Vumbua hekima inayoandikwa
kwenye nguo za Zanzibar.
http://www.glcom.com/hassan/kanga.html
Shirika la Zanzibar (Portsmouth) = Mtandao wa Huduma
ya Jamii Uingereza:
http://www.hants.gov.uk/istcclr/cch11784.html
Zanzibar: Orodha na Namna za Mapishi = Jina laelezea
vyote:
http://www.sas.upenn.edu/African_Studies/Cookbook/Zanzibar.html
Utambulisho wa Bao = Jifunze mchezo wa Bodi ya Taifa
ya Zanzibar:
http://www.gamecabinet.com/rules/Bao.html